Yeremia 48:39
“Tazama jinsi alivyovunjikavunjika! 2 Jinsi wanavyolia kwa huzuni! 1 Tazama jinsi Moabu anavyogeuka kwa aibu! 2 Moabu amekuwa kitu cha kudhihakiwa, 1 kitu cha kutisha kwa wale wote 2 wanaomzunguka.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
40Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Tazama! Tai anashuka chini, 2 akitanda mabawa yake juu ya Moabu. 1
Cross References
Jeremiah 48:17Ombolezeni kwa ajili yake, ninyi nyote mnaomzunguka, 2 ninyi nyote mnaojua sifa zake, 1 semeni, ‘Tazama jinsi ilivyovunjika fimbo ya kifalme yenye nguvu, 2 tazama jinsi ilivyovunjika fimbo iliyotukuka!’ 1
Lamentations 1:1Tazama jinsi mji ulivyoachwa ukiwa, 2 mji ambao zamani ulikuwa umejaa watu! 1 Jinsi ambavyo umekuwa kama mama mjane, 2 ambaye wakati fulani alikuwa maarufu miongoni mwa mataifa! 1 Yule ambaye alikuwa malkia miongoni mwa majimbo 2 sasa amekuwa mtumwa. 1
Lamentations 4:1Jinsi dhahabu ilivyopoteza mngʼao wake, 2 dhahabu iliyo safi haingʼai! 1 Vito vya thamani vimetawanywa 2 kwenye mwanzo wa kila barabara. 1
Revelation 18:9“Wafalme wa dunia waliozini naye na kushiriki anasa zake watakapoona moshi wa kuungua kwake, watamlilia na kumwombolezea.