The Bible Software
bible.softwareLamentationsLamentations 4 › Lamentations 4:1

Lamentations 4:1

Jinsi dhahabu ilivyopoteza mngʼao wake, 2 dhahabu iliyo safi haingʼai! 1 Vito vya thamani vimetawanywa 2 kwenye mwanzo wa kila barabara. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How is the gold become dim! how is the most fine gold changed! the stones of the sanctuary are poured out in the top of every street.

In Context

2Wana wa Sayuni wenye thamani, 2 ambao mwanzo uzito wa thamani yao 2 ulikuwa wa dhahabu, 1 sasa wanaangaliwa kama vyungu vya udongo, 2 kazi ya mikono ya mfinyanzi! 1

Read all of Lamentations 4

Cross References

Isaiah 1:21Tazama jinsi mji uliokuwa mwaminifu 2 umekuwa kahaba! 1 Mwanzoni ulikuwa umejaa unyofu, 2 haki ilikuwa inakaa ndani yake, 2 lakini sasa ni wauaji! 1

Jeremiah 52:13Alichoma moto Hekalu la Bwana, jumba la kifalme, na nyumba zote za Yerusalemu. Aliteketeza kila jengo muhimu.

Ezekiel 7:19Watatupa fedha yao barabarani, nayo dhahabu yao itakuwa najisi. Fedha yao na dhahabu yao havitaweza kuwaokoa katika siku hiyo ya ghadhabu ya Bwana. Hawatashibisha njaa yao au kujaza matumbo yao kwa hiyo fedha wala dhahabu, kwa sababu imewaponza wajikwae dhambini.

Mark 13:2Ndipo Yesu akajibu akasema, “Je, unayaona majengo haya yalivyo makubwa? Hakuna hata jiwe moja litakalobaki juu ya jingine, bali yote yatabomolewa.” 1 Mateso Yatabiriwa (Mathayo 24:3-14; Luka 21:7-19)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Lamentations 4:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Lamentations 4Lamentations 4:2 →