Yeremia 49:11
Waache yatima wako; nitayalinda maisha yao. 1 Wajane wako pia 2 wanaweza kunitumaini mimi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Leave thy fatherless children, I will preserve them alive; and let thy widows trust in me.
In Context
Cross References
Deuteronomy 10:18Huwapigania yatima na wajane, humpenda mgeni, akimpa chakula na mavazi.
Psalms 68:5Baba wa yatima, mtetezi wa wajane, 2 ni Mungu katika makao yake matakatifu. 1
Psalms 146:9Bwana huwalinda wageni 2 na kuwategemeza yatima na wajane, 2 lakini hupinga njia za waovu. 1
Hosea 14:3Ashuru hawezi kutuokoa, 2 hatutapanda farasi wa vita. 1 Kamwe hatutasema tena ‘Miungu yetu’ 2 kwa kile ambacho mikono yetu wenyewe imetengeneza, 2 kwa kuwa kwako wewe yatima hupata huruma.” 1
Malachi 3:5“Basi nitakuja karibu nanyi ili kuhukumu. Nami nitakuwa mwepesi kushuhudia dhidi ya wachawi, wazinzi, waapao kwa uongo, wanaopunja vibarua malipo yao, wanaowaonea wajane na yatima, na wanaowanyima wageni haki, lakini hawaniogopi mimi,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Kumwibia Mungu
James 1:27Dini iliyo safi, isiyo na uchafu, inayokubalika mbele za Mungu Baba yetu, ndiyo hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki zao na kujilinda usitiwe madoa na dunia.