The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 49 › Yeremia 49:10

Yeremia 49:10

Lakini nitamvua Esau nguo abaki uchi, 2 nitayafunua maficho yake, 2 ili asiweze kujificha. 1 Watoto wake, jamaa na majirani wataangamia, 2 naye hatakuwepo tena. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But I have made Esau bare, I have uncovered his secret places, and he shall not be able to hide himself: his seed is spoiled, and his brethren, and his neighbours, and he is not.

In Context

9Je, kama wachuma zabibu wangekuja kwako, 2 wasingebakiza zabibu chache? 1 Kama wezi wangekujia usiku, 2 je, si wangeiba tu kiasi ambacho wangehitaji? 1

11Waache yatima wako; nitayalinda maisha yao. 1 Wajane wako pia 2 wanaweza kunitumaini mimi.”

Read all of Yeremia 49

Cross References

Psalms 37:28Kwa kuwa Bwana huwapenda wenye haki 2 naye hatawaacha waaminifu wake. 1 Watalindwa milele, 2 lakini uzao wa waovu utakatiliwa mbali. 1

Isaiah 14:20Hutajumuika nao kwenye mazishi, 1 kwa kuwa umeharibu nchi yako 2 na kuwaua watu wako. 1 Mzao wa mwovu 2 hatatajwa tena kamwe. 1

Isaiah 45:3Nitakupa hazina za gizani, 2 mali zilizofichwa mahali pa siri, 1 ili upate kujua ya kwamba Mimi ndimi Bwana, 2 Mungu wa Israeli, akuitaye kwa jina lako. 1

Amos 9:3Wajapojificha juu ya kilele cha Karmeli, 2 huko nitawawinda na kuwakamata. 1 Wajapojificha kutoka kwenye uso wangu 2 katika vilindi vya bahari, 2 huko nako nitaamuru joka kuwauma. 1

Malachi 1:3lakini nikamchukia Esau, nami nimeifanya milima yake kuwa ukiwa, na urithi wake nimewapa mbweha wa jangwani.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 49:9Yeremia 49Yeremia 49:11 →