The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 5 › Yeremia 5:13

Yeremia 5:13

Manabii ni upepo tu, wala neno halimo ndani yao, 2 kwa hiyo hayo wayasemayo na yatendeke kwao.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And the prophets shall become wind, and the word is not in them: thus shall it be done unto them.

In Context

12Wamedanganya kuhusu Bwana. 2 Wamesema, “Yeye hatafanya jambo lolote! 1 Hakuna dhara litakalotupata; 2 kamwe hatutaona upanga wala njaa. 1

14Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote: 1 “Kwa sababu watu hawa wamesema maneno haya, 2 nitayafanya maneno yangu vinywani mwenu kuwa moto, 1 na watu hawa wawe kuni 2 zinazoliwa na huo moto. 1

Read all of Yeremia 5

Cross References

Job 8:2“Hata lini wewe utasema mambo kama haya? 2 Maneno yako ni kama upepo mkuu. 1

Jeremiah 14:15Kwa hiyo, hili ndilo Bwana asemalo kuhusu manabii wanaotabiri kwa jina langu: Mimi sikuwatuma, lakini wanasema, ‘Hakuna upanga wala njaa itakayoigusa nchi hii.’ Manabii hao hao watakufa kwa upanga na njaa.

Jeremiah 20:8Kila ninenapo, ninapiga kelele 2 nikitangaza ukatili na uharibifu. 1 Kwa hiyo neno la Bwana limeniletea matukano 2 na mashutumu mchana kutwa. 1

Hosea 9:7Siku za adhabu zinakuja, 2 siku za malipo zimewadia. 2 Israeli na afahamu hili. 1 Kwa sababu dhambi zenu ni nyingi sana 2 na uadui wenu ni mkubwa sana, 1 nabii anadhaniwa ni mpumbavu, 2 mtu aliyeongozwa na Mungu 2 anaonekana mwendawazimu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 5:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 5:12Yeremia 5Yeremia 5:14 →