Jeremiah 50:21
“Shambulieni nchi ya Merathaimu 2 na wale waishio huko Pekodi. 1 Wafuatieni, waueni 2 na kuwaangamiza kabisa,” 4 asema Bwana. 2 “Fanyeni kila kitu nilichowaamuru. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Kelele ya vita iko ndani ya nchi, 2 kelele ya maangamizi makuu! 1
Cross References
Numbers 31:14Mose aliwakasirikia maafisa wa jeshi, yaani hao wakuu wa jeshi wa maelfu na wakuu wa jeshi wa mamia, ambao walirudi kutoka vitani.
1 Samuel 15:3Basi sasa nenda ukawashambulie Waamaleki na kuwaangamiza kabisa pamoja na kila kitu kilicho mali yao. Usiwahurumie; waue wanaume na wanawake, watoto na wanyonyao, ngʼombe na kondoo, ngamia na punda.’ ”
2 Samuel 16:11Ndipo Daudi akamwambia Abishai na maafisa wake wote, “Mwanangu, yeye ambaye ametoka viunoni mwangu mwenyewe, anajaribu kuuondoa uhai wangu. Je, si zaidi sana kwa huyu Mbenyamini! Mwacheni, acha alaani, kwa maana Bwana amemwambia afanye hivyo.
2 Chronicles 36:23“Hili ndilo asemalo Koreshi mfalme wa Uajemi: “ ‘ Bwana, Mungu wa mbinguni, amenipa falme zote duniani, na ameniagiza kumjengea Hekalu huko Yerusalemu katika Yuda. Yeyote wa watu wake miongoni mwenu, Mungu wake na awe pamoja naye, wacha huyo mtu na apande.’ ”
Isaiah 44:28nisemaye kuhusu Koreshi, ‘Yeye ni mchungaji wangu, 2 naye atatimiza yote yanipendezayo; 2 atauambia Yerusalemu, “Ukajengwe tena,” 2 na kuhusu Hekalu, “Misingi yake na iwekwe.” ’
Isaiah 48:15Mimi, naam, Mimi, nimenena; 2 naam, nimemwita yeye. 1 Nitamleta, 2 naye atafanikiwa katika lile nililomtuma.