Isaiah 44:28
nisemaye kuhusu Koreshi, ‘Yeye ni mchungaji wangu, 2 naye atatimiza yote yanipendezayo; 2 atauambia Yerusalemu, “Ukajengwe tena,” 2 na kuhusu Hekalu, “Misingi yake na iwekwe.” ’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27niambiaye kilindi cha maji, ‘Kauka, 2 nami nitakausha vijito vyako,’ 1
Cross References
2 Chronicles 36:22Katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Koreshi mfalme wa Uajemi, ili kulitimiza neno la Bwana lililosemwa na nabii Yeremia, Bwana aliusukuma moyo wa Koreshi mfalme wa Uajemi kutangaza katika himaya yake yote kwa maandishi:
Ezra 1:3Yeyote wa watu wake miongoni mwenu, Mungu wake na awe pamoja naye, wacha apande kwenda Yerusalemu katika Yuda na kujenga Hekalu la Bwana, Mungu wa Israeli, Mungu aliyeko huko Yerusalemu.
Psalms 78:71Kutoka kuchunga kondoo alimleta 2 kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo, 2 wa Israeli urithi wake. 1
Isaiah 42:15Nitaharibu milima na vilima 2 na kukausha mimea yako yote; 1 nitafanya mito kuwa visiwa 2 na kukausha mabwawa. 1
Isaiah 45:3Nitakupa hazina za gizani, 2 mali zilizofichwa mahali pa siri, 1 ili upate kujua ya kwamba Mimi ndimi Bwana, 2 Mungu wa Israeli, akuitaye kwa jina lako. 1
Isaiah 46:11Kutoka mashariki ninaita ndege awindaye; 2 kutoka nchi ya mbali, 2 mtu atakayetimiza kusudi langu. 1 Lile ambalo nimelisema, ndilo nitakalolitimiza; 2 lile nililolipanga, ndilo nitakalolitenda. 1