Yeremia 52:8
Lakini jeshi la Wakaldayo likamfuatia Mfalme Sedekia na kumpata katika sehemu tambarare za Yeriko. Askari wake wote wakatengwa naye na kutawanyika,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 21:7Baada ya hayo, nitamtia Sedekia mfalme wa Yuda, maafisa wake na watu wa mji huu ambao walinusurika tauni, upanga na njaa, mkononi mwa Nebukadneza mfalme wa Babeli, na kwa adui zao wale wanaotafuta uhai wao. Atawaua kwa upanga; hatakuwa na rehema juu yao au huruma wala kuwasikitikia,’ asema Bwana.
Jeremiah 34:21“Nitamtia Sedekia mfalme wa Yuda na maafisa wake mikononi mwa adui zao wanaotafuta uhai wao, kwa jeshi la mfalme wa Babeli, lililokuwa limeondoka kwenu.
Jeremiah 38:23“Wake zako wote na watoto wataletwa na kutiwa mikononi mwa Wakaldayo. Wewe mwenyewe hutaweza kujiokoa mikononi mwao. Lakini utatekwa na mfalme wa Babeli, na mji huu utateketezwa kwa moto.”
Lamentations 4:19Waliotufuatia walikuwa wepesi 2 kuliko tai angani; 2 walitusaka juu milimani 2 na kutuvizia jangwani. 1
Ezekiel 17:20Nitautandaza wavu wangu kwa ajili yake, naye atanaswa katika mtego wangu. Nitamleta mpaka Babeli na kutekeleza hukumu juu yake huko kwa kuwa hakuwa mwaminifu kwangu.
Amos 9:1Nilimwona Bwana akiwa amesimama kando ya madhabahu, naye akasema: 1 “Piga vichwa vya nguzo 2 ili vizingiti vitikisike. 1 Viangushe juu ya vichwa vya watu wote; 2 na wale watakaosalia nitawaua kwa upanga. 1 Hakuna awaye yote atakayekimbia, 2 hakuna atakayetoroka. 1