Yeremia 7:1
Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The word that came to Jeremiah from the LORD, saying,
In Context
Cross References
1 Kings 17:2Kisha neno la Bwana likamjia Eliya, kusema,
Jeremiah 25:1Neno likamjia Yeremia kuhusu watu wote wa Yuda, katika mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda, ambao ulikuwa mwaka wa kwanza wa utawala wa Nebukadneza mfalme wa Babeli.