Yeremia 7:2
“Simama kwenye lango la nyumba ya Bwana, na huko upige mbiu ya ujumbe huu: “ ‘Sikieni neno la Bwana, enyi watu wote wa Yuda mliokuja kupitia malango haya ili kumwabudu Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana:
Cross References
Proverbs 1:20Hekima huita kwa sauti kuu barabarani, 2 hupaza sauti yake kwenye viwanja vikubwa; 1
Isaiah 1:10Sikieni neno la Bwana, 2 ninyi watawala wa Sodoma; 1 sikilizeni sheria ya Mungu wetu, 2 enyi watu wa Gomora! 1
Jeremiah 10:1Sikieni lile ambalo Bwana, anena nanyi ee nyumba ya Israeli.
Jeremiah 19:2na mtoke mwende mpaka kwenye Bonde la Ben-Hinomu, karibu na ingilio la Lango la Vigae. Huko tangaza maneno ninayokuambia,
Jeremiah 22:1Hili ndilo asemalo Bwana: “Shuka kwenye jumba la kifalme la mfalme wa Yuda, utangaze ujumbe huu huko:
Jeremiah 28:5Ndipo nabii Yeremia akamjibu nabii Hanania mbele ya makuhani na watu wote waliokuwa wamesimama ndani ya nyumba ya Bwana.