Yeremia 7:33
Ndipo mizoga ya watu hawa itakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa nchi, wala hapatakuwepo na yeyote wa kuwafukuza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 28:26Mizoga yenu itakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa nchi, wala hapatakuwepo mtu yeyote wa kuwafukuza.
Jeremiah 8:1“ ‘Wakati huo, asema Bwana, mifupa ya wafalme na maafisa wa Yuda, mifupa ya makuhani na manabii, na mifupa ya watu wa Yerusalemu itaondolewa kutoka makaburi yao.
Jeremiah 9:22Sema, “Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Maiti za wanaume zitalala 2 kama mavi katika mashamba, 1 kama malundo ya nafaka nyuma ya mvunaji, 2 wala hakuna anayekusanya.’ ”
Jeremiah 16:4“Watakufa kwa magonjwa ya kufisha. Hawataombolezewa wala kuzikwa, lakini watakuwa kama mavi yaliyosambaa juu ya ardhi. Watakufa kwa upanga na kwa njaa, nazo maiti zao zitakuwa chakula cha ndege wa angani, na cha wanyama wa nchi.”
Jeremiah 22:19Atazikwa maziko ya punda: 2 ataburutwa na kutupwa 2 nje ya malango ya Yerusalemu.” 1
Jeremiah 34:20nitawatia mikononi mwa adui zao wanaotafuta uhai wao. Maiti zao zitakuwa chakula cha ndege wa angani na wanyama wa nchi.