Yeremia 9:22
Sema, “Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “ ‘Maiti za wanaume zitalala 2 kama mavi katika mashamba, 1 kama malundo ya nafaka nyuma ya mvunaji, 2 wala hakuna anayekusanya.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 9:37Maiti ya Yezebeli itakuwa kama mavi shambani katika uwanja wa Yezreeli, kwamba hakutakuwepo mtu atakayeweza kusema, ‘Huyu ndiye Yezebeli.’ ”
2 Kings 20:15Nabii akauliza, “Waliona nini katika jumba lako la kifalme?” Hezekia akajibu, “Waliona kila kitu katika jumba langu la kifalme. Hakuna kitu chochote katika hazina yangu ambacho sikuwaonyesha.”
Psalms 49:7Hakuna mwanadamu awaye yote 2 awezaye kuukomboa uhai wa mwingine, 2 au kumpa Mungu fidia kwa ajili yake. 1
Proverbs 18:11Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, 2 wanaudhania kuwa ukuta usioweza kurukwa. 1
Isaiah 5:25Kwa hiyo hasira ya Bwana inawaka dhidi ya watu wake, 2 mkono wake umeinuliwa na anawapiga. 1 Milima inatetemeka, 2 maiti ni kama takataka kwenye barabara. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1
Jeremiah 8:2Itawekwa wazi kwa jua, na mwezi, na nyota zote za mbingu, ambazo walizipenda na kuzitumikia, na ambazo wamezifuata kutafuta ushauri na kuziabudu. Hawatakusanywa pamoja au kuzikwa, lakini watakuwa kama mavi yaliyotapakaa juu ya ardhi.