Jeremiah 9:21
Mauti imeingia ndani kupitia madirishani, 2 imeingia kwenye majumba yetu ya fahari; 1 imewakatilia mbali watoto katika barabara 2 na vijana waume kutoka viwanja vya miji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 6:11Lakini nimejaa ghadhabu ya Bwana, 2 nami siwezi kuizuia. 1 “Wamwagie watoto walioko barabarani, 2 na juu ya vijana waume waliokusanyika; 1 mume na mke watakumbwa pamoja ndani yake, 2 hata nao wazee waliolemewa na miaka. 1
Jeremiah 8:2Itawekwa wazi kwa jua, na mwezi, na nyota zote za mbingu, ambazo walizipenda na kuzitumikia, na ambazo wamezifuata kutafuta ushauri na kuziabudu. Hawatakusanywa pamoja au kuzikwa, lakini watakuwa kama mavi yaliyotapakaa juu ya ardhi.
Ezekiel 9:5Nikiwa ninasikia, akawaambia wale wengine, “Mfuateni anapopita katika mji wote mkiua, pasipo huruma wala masikitiko.
Amos 5:2“Bikira Israeli ameanguka, 2 kamwe hatainuka tena, 1 ameachwa pweke katika nchi yake, 2 hakuna yeyote wa kumwinua.”
Zephaniah 1:17Nitawaletea watu dhiki, 2 nao watatembea kama vipofu, 1 kwa sababu wametenda dhambi 2 dhidi ya Bwana. 1 Damu yao itamwagwa kama vumbi 2 na matumbo yao kama taka. 1