Ayubu 1:17
Alipokuwa bado ananena, mjumbe mwingine akaja na kusema, “Wakaldayo waliunda vikosi vitatu vya uvamizi na kuwaangukia ngamia wako na kuwachukua wakaondoka nao. Wakawaua watumishi kwa upanga, nami ndimi peke yangu niliyenusurika kukuletea habari.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 11:28Tera alipokuwa bado hai, Harani akafa huko Uru ya Wakaldayo, nchi alimozaliwa.
2 Samuel 1:3Daudi akamuuliza, “Wewe umetoka wapi?” Akamjibu, “Nimetoroka kutoka kambi ya Waisraeli.”
Isaiah 23:13Tazama katika nchi ya Wakaldayo, 2 watu hawa ambao sasa hawaonekani kama wapo! 1 Waashuru wameifanya nchi hiyo 2 kuwa mahali pa viumbe wa jangwani. 1 Wamesimamisha minara yao ya vita kuuzunguka, 2 wameziteka ngome zake na kuziacha tupu 2 na kuufanya kuwa magofu. 1