Isaiah 23:13
Tazama katika nchi ya Wakaldayo, 2 watu hawa ambao sasa hawaonekani kama wapo! 1 Waashuru wameifanya nchi hiyo 2 kuwa mahali pa viumbe wa jangwani. 1 Wamesimamisha minara yao ya vita kuuzunguka, 2 wameziteka ngome zake na kuziacha tupu 2 na kuufanya kuwa magofu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi; 2 ngome yenu imeangamizwa!
Cross References
Genesis 2:14Jina la mto wa tatu ni Tigrisi, unaopita mashariki ya Ashuru. Mto wa nne ni Frati.
Genesis 11:9Ndiyo maana pakaitwa Babeli, kwa sababu hapo ndipo Bwana alipoivuruga lugha ya dunia nzima. Kutoka hapo Bwana akawatawanya katika uso wa dunia yote. 1 Shemu Hadi Abramu (1 Nyakati 1:24-27)
Genesis 11:31Tera akamchukua Abramu mwanawe, Loti mwana wa Harani mwanawe, na Sarai mkwewe, mke wa Abramu mwanawe, wakatoka kwa pamoja katika Uru ya Wakaldayo kwenda nchi ya Kanaani. Lakini walipofika Harani, wakaishi huko.
2 Kings 20:12Wakati huo Merodaki-Baladani, mwana wa Baladani mfalme wa Babeli, akamtumia Hezekia barua na zawadi, kwa sababu alikuwa amesikia habari za kuugua kwa Hezekia.
Ezra 4:9Rehumu afisa msimamizi na mwandishi Shimshai, pamoja na wenzao, yaani mahakimu na maafisa walio juu ya watu kuanzia Tripoli, Uajemi, Ereki na Babeli, Waelami wa Shushani,
Psalms 72:9Makabila ya jangwani watamsujudia, 2 na adui zake wataramba mavumbi. 1