Ayubu 10:11
ukanivika ngozi na nyama, 2 na kuniunga pamoja kwa mifupa na mishipa? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou hast clothed me with skin and flesh, and hast fenced me with bones and sinews.
In Context
10Je, wewe hukunimimina mimi kama maziwa, 2 na kunigandisha kama jibini, 1
12Umenipa uhai na kunitendea wema, 2 katika uangalizi wako umeilinda roho yangu. 1
Cross References
Psalms 139:13Kwa maana wewe ndiwe uliyeumba utu wangu wa ndani; 2 uliniunga pamoja tumboni mwa mama yangu. 1
2 Corinthians 5:2Katika hema hii twalia kwa uchungu, tukitamani kuvikwa makao yetu ya mbinguni,