Ayubu 10:19
Laiti nisingekuwako kamwe, 2 au ningekuwa nimechukuliwa moja kwa moja 2 kutoka tumboni kwenda kaburini! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I should have been as though I had not been; I should have been carried from the womb to the grave.
In Context
18“Kwa nini basi ulinitoa tumboni? 2 Ninatamani ningekufa kabla jicho lolote halijaniona. 1
20Je, siku zangu chache si zimekaribia kuisha? 2 Niachie ili niweze kupata muda mfupi wa kufurahi 1
Cross References
Job 3:16Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, 2 kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga? 1