Ayubu 3:16
Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, 2 kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Or as an hidden untimely birth I had not been; as infants which never saw light.
In Context
15pamoja na watawala waliokuwa na dhahabu, 2 waliozijaza nyumba zao kwa fedha. 1
17Huko waovu huacha kusumbua 2 na huko waliochoka hupumzika. 1
Cross References
Job 10:19Laiti nisingekuwako kamwe, 2 au ningekuwa nimechukuliwa moja kwa moja 2 kutoka tumboni kwenda kaburini! 1
Psalms 58:9Kabla vyungu vyenu havijapata moto wa kuni za miiba, 2 zikiwa mbichi au kavu, 1 waovu watakuwa 2 wamefagiliwa mbali. 1
Ecclesiastes 6:3Mtu anaweza kuwa na watoto mia moja naye akaishi miaka mingi, lakini haidhuru kuwa ataishi muda mrefu kiasi gani, kama hawezi kufurahia mafanikio yake na kwamba hapati mazishi ya heshima, ninasema afadhali mtoto aliyezaliwa akiwa amekufa kuliko yeye.