The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 10 › Ayubu 10:8

Ayubu 10:8

“Mikono yako ndiyo iliyoniumba na kunifanya. 2 Je, sasa utageuka na kuniangamiza? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thine hands have made me and fashioned me together round about; yet thou dost destroy me.

In Context

7ingawa wajua kuwa mimi sina hatia, 2 na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako? 1

9Kumbuka kuwa ulinifinyanga kama udongo wa mfinyanzi. 2 Je, sasa utanifanya kuwa mavumbi tena? 1

Read all of Ayubu 10

Cross References

Genesis 6:6Bwana akasikitika kwamba alimuumba mwanadamu duniani, moyo wa Mungu ukajaa masikitiko.

Job 10:3Je, inakupendeza wewe kunionea, 2 kuikataa kwa dharau kazi ya mikono yako, 2 huku wewe ukitabasamu juu ya mipango ya waovu? 1

Psalms 139:15Umbile langu halikufichika kwako, 2 nilipoumbwa mahali pa siri. 1 Nilipoungwa pamoja kwa ustadi katika vilindi vya nchi, 2

Jeremiah 18:3Kwa hiyo nikashuka mpaka kwenye nyumba ya mfinyanzi, nikamkuta akifinyanga kwa gurudumu lake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 10:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 10:7Ayubu 10Ayubu 10:9 →