The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 10 › Ayubu 10:7

Ayubu 10:7

ingawa wajua kuwa mimi sina hatia, 2 na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou knowest that I am not wicked; and there is none that can deliver out of thine hand.

In Context

6ili kwamba utafute makosa yangu 2 na kuichunguza dhambi yangu; 1

8“Mikono yako ndiyo iliyoniumba na kunifanya. 2 Je, sasa utageuka na kuniangamiza? 1

Read all of Ayubu 10

Cross References

Job 11:4Unamwambia Mungu, ‘Imani yangu ni kamili 2 nami ni safi mbele zako.’ 1

Job 23:11Nyayo zangu zimefuata hatua zake kwa karibu; 2 nimeishika njia yake bila kukengeuka. 1

Job 31:6Mungu na anipime katika mizani za uaminifu, 2 naye atajua kwamba sina hatia: 1

Job 31:35(“Laiti kama angekuwepo mtu wa kunisikia! 2 Tazama sasa ninatia sahihi kwenye utetezi wangu: 2 Mwenyezi na anijibu; 1 mshtaki wangu na aweke mashtaka yake kwenye maandishi. 1

Psalms 1:6Kwa maana Bwana huziangalia njia za mwenye haki, 2 bali njia ya waovu itaangamia.

Psalms 7:8Bwana na awahukumu kabila za watu. 1 Nihukumu Ee Bwana, 2 kwa kadiri ya haki yangu, 1 kwa kadiri ya uadilifu wangu, 2 Ewe Uliye Juu Sana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 10:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 10:6Ayubu 10Ayubu 10:8 →