Ayubu 12:16
Kwake kuna nguvu na ushindi; 2 adanganywaye na adanganyaye, wote wawili ni wake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
With him is strength and wisdom: the deceived and the deceiver are his.
In Context
15Akizuia maji, huwa pana ukame; 2 akiyaachia maji, huharibu nchi. 1
17Yeye huwaondoa washauri wakiwa wametekwa nyara, 2 naye huwapumbaza wanaotoa maamuzi. 1
Cross References
Job 12:13“Hekima na nguvu ni vya Mungu; 2 shauri na ufahamu ni vyake yeye. 1
Job 13:9Je, ingekuwa vyema Mungu akiwahoji ninyi? 2 Je, mngeweza kumdanganya kama ambavyo mngeweza kuwadanganya wanadamu? 1
Proverbs 2:6Kwa maana Bwana hutoa hekima, 2 na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu. 1
Ezekiel 14:9“ ‘Naye nabii kama atakuwa ameshawishika kutoa unabii, Mimi Bwana nitakuwa nimemshawishi nabii huyo, nami nitaunyoosha mkono wangu dhidi yake na kumwangamiza kutoka miongoni mwa watu wangu Israeli.