Ayubu 12:8
au zungumzeni na dunia, nayo itawafundisha, 2 au acheni samaki wa baharini wawape taarifa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Or speak to the earth, and it shall teach thee: and the fishes of the sea shall declare unto thee.
In Context
7“Lakini ulizeni wanyama, nao watawafundisha, 2 au ndege wa angani, nao watawaambia; 1
9Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua 2 kwamba mkono wa Bwana ndio uliofanya hili? 1