Ayubu 12:7
“Lakini ulizeni wanyama, nao watawafundisha, 2 au ndege wa angani, nao watawaambia; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8au zungumzeni na dunia, nayo itawafundisha, 2 au acheni samaki wa baharini wawape taarifa. 1
Cross References
Genesis 1:25Mungu akafanya wanyama pori kulingana na aina zake, wanyama wa kufugwa kulingana na aina zake, na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi kulingana na aina zake. Mungu akaona kuwa hili ni jema.
Job 21:29Je, hamkuwahi kuwauliza hao wanaosafiri? 2 Je, hamkutafakari taarifa zao: 1
Proverbs 30:24“Vitu vinne duniani vilivyo vidogo, 2 lakini vina akili nyingi sana: 1
Jeremiah 8:7Hata korongo aliyeko angani 2 anayajua majira yake yaliyoamriwa, 1 nao njiwa, mbayuwayu na koikoi 2 hufuata majira yao ya kurudi. 1 Lakini watu wangu hawajui 2 Bwana anachotaka kwao. 1