Job 13:14
Kwa nini nijiweke mwenyewe kwenye hatari 2 na kuyaweka maisha yangu mikononi mwangu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore do I take my flesh in my teeth, and put my life in mine hand?
In Context
13“Nyamazeni kimya nipate kusema; 2 kisha na yanipate yatakayonipata. 1
15Ingawa ataniua, bado nitamtumaini; 2 hakika nitazitetea njia zangu mbele zake. 1
Cross References
Judges 12:3Nilipoona kuwa hamkunipa msaada nikauhatarisha uhai wangu na nikavuka kupigana na Waamoni. Naye Bwana akanipatia ushindi dhidi yao. Sasa kwa nini mnanijia leo ili kupigana nami?”
1 Samuel 28:21Yule mwanamke alipomwendea Sauli na kumwona amepatwa na hofu, akamwambia, “Tazama, mimi mtumishi wako mwanamke nimekutii. Nimeweka maisha yangu hatarini kwa kufanya kile ulichoniagiza nifanye.
Psalms 119:109Ingawa maisha yangu yako hatarini siku zote, 2 sitasahau sheria yako. 1
Isaiah 9:20Upande wa kuume watakuwa wakitafuna, 2 lakini bado wataona njaa; 1 upande wa kushoto watakuwa wakila, 2 lakini hawatashiba. 1 Kila mmoja atajilisha kwa nyama ya mtoto wake mwenyewe: 2