Isaiah 9:20
Upande wa kuume watakuwa wakitafuna, 2 lakini bado wataona njaa; 1 upande wa kushoto watakuwa wakila, 2 lakini hawatashiba. 1 Kila mmoja atajilisha kwa nyama ya mtoto wake mwenyewe: 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 5:25Kwa hiyo hasira ya Bwana inawaka dhidi ya watu wake, 2 mkono wake umeinuliwa na anawapiga. 1 Milima inatetemeka, 2 maiti ni kama takataka kwenye barabara. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1
Isaiah 10:4Hakutasalia kitu chochote, 2 isipokuwa kujikunyata miongoni mwa mateka, 2 au kuanguka miongoni mwa waliouawa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1 Hukumu Ya Mungu Juu Ya Ashuru 1
Jeremiah 19:9Nitawafanya wao kula nyama ya wana wao na binti zao; kila mmoja atakula nyama ya mwenzake wakati wa dhiki ya kuzungukwa na jeshi lililowekwa juu yao na adui wanaotafuta uhai wao.’
Zechariah 11:9nikasema, “Sitakuwa mchungaji wenu. Waache wanaokufa wafe na wanaoangamia waangamie. Wale waliobakia kila mmoja na ale nyama ya mwenzake.”