Job 13:17
Sikilizeni maneno yangu kwa makini; 2 nayo masikio yenu yaingize kile nisemacho. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hear diligently my speech, and my declaration with your ears.
In Context
18Sasa kwamba nimekwisha kutayarisha mambo yangu, 2 ninajua mimi nitahesabiwa kuwa na haki. 1
Cross References
Job 13:6Sikieni sasa hoja yangu; 2 sikilizeni kusihi kwangu. 1
Job 31:35(“Laiti kama angekuwepo mtu wa kunisikia! 2 Tazama sasa ninatia sahihi kwenye utetezi wangu: 2 Mwenyezi na anijibu; 1 mshtaki wangu na aweke mashtaka yake kwenye maandishi. 1