Ayubu 31:35
(“Laiti kama angekuwepo mtu wa kunisikia! 2 Tazama sasa ninatia sahihi kwenye utetezi wangu: 2 Mwenyezi na anijibu; 1 mshtaki wangu na aweke mashtaka yake kwenye maandishi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
36Hakika ningeyavaa begani mwangu, 2 ningeyavaa kama taji. 1
Cross References
Job 13:3Lakini ninayo shauku ya kuzungumza na Mwenyezi 2 na kuhojiana shauri langu na Mungu. 1
Job 13:21Ondoa mkono wako uwe mbali nami, 2 nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu. 1
Job 13:24Kwa nini kuuficha uso wako 2 na kunihesabu mimi kuwa adui yako? 1
Job 19:7“Ingawa ninalia, ‘Nimetendewa mabaya!’ sipati jibu; 2 ingawa ninaomba msaada, hakuna haki. 1
Job 19:23“Laiti maneno yangu yangewekwa kwenye kumbukumbu, 2 laiti kwamba yangeandikwa kwenye kitabu, 1
Job 27:7“Watesi wangu wawe kama waovu, 2 nao adui zangu wawe kama wasio haki! 1