Ayubu 14:8
Mizizi yake yaweza kuchakaa ardhini 2 na kisiki chake kufa udongoni, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Though the root thereof wax old in the earth, and the stock thereof die in the ground;
In Context
9lakini kwa kupata dalili ya maji utachipua 2 na kutoa machipukizi kama mche. 1
Cross References
John 12:24Amin, amin nawaambia, mbegu ya ngano isipoanguka ardhini na kufa, hubakia kama mbegu peke yake. Lakini ikifa huzaa mbegu nyingi.