Ayubu 14:9
lakini kwa kupata dalili ya maji utachipua 2 na kutoa machipukizi kama mche. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yet through the scent of water it will bud, and bring forth boughs like a plant.
In Context
8Mizizi yake yaweza kuchakaa ardhini 2 na kisiki chake kufa udongoni, 1
10Lakini mwanadamu hufa, na huo ndio mwisho wake; 2 hutoa pumzi ya mwisho, naye hayuko tena! 1
Cross References
Ezekiel 17:3Waambie hivi, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Tai mkubwa mwenye mabawa yenye nguvu, yaliyojaa manyoya marefu ya rangi mbalimbali, alikuja Lebanoni. Akatua kwenye kilele cha mwerezi,
Ezekiel 19:10“ ‘Mama yako alikuwa kama mzabibu 2 katika shamba lako la mizabibu 2 uliopandwa kando ya maji, 1 ukiwa unazaa sana na wenye matawi mengi 2 kwa sababu ya wingi wa maji. 1
Romans 11:17Lakini kama baadhi ya matawi yalikatwa, nawe chipukizi la mzeituni mwitu ukapandikizwa mahali pao ili kushiriki unono pamoja na matawi mengine kutoka shina la mzeituni,