Job 15:13
ili kwamba upate kutoa hasira yako dhidi ya Mungu, 2 na kumwaga maneno kama hayo kutoka kinywani mwako? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That thou turnest thy spirit against God, and lettest such words go out of thy mouth?
In Context
12Kwa nini moyo wako unakudanganya, 2 na kwa nini macho yako yanangʼaa, 1
Cross References
Genesis 4:5lakini Mungu hakumkubali Kaini pamoja na sadaka yake. Kwa hiyo Kaini akakasirika sana, uso wake ukawa na huzuni.
Job 9:4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. 2 Ni nani aliyempinga naye akawa salama? 1
Job 12:6Hema za wanyangʼanyi hazisumbuliwi, 2 wale wanaomghadhibisha Mungu wako salama: 2 wale wamchukuao mungu wao mikononi mwao. 1
Psalms 34:13basi auzuie ulimi wake na mabaya, 2 na midomo yake kutokana na kusema uongo. 1
Lamentations 3:39Mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika 2 wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake? 1
Malachi 3:13“Mmesema vitu vigumu dhidi yangu,” asema Bwana. “Hata hivyo mnauliza, ‘Tumesema nini dhidi yako?’