Job 9:4
Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno. 2 Ni nani aliyempinga naye akawa salama? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Aiondoa milima bila yenyewe kujua 2 na kuipindua kwa hasira yake. 1
Cross References
Exodus 9:14au wakati huu nitaleta mapigo yangu yenye nguvu dhidi yako, maafisa wako na watu wako, ili upate kujua kuwa hakuna mwingine kama Mimi katika dunia yote.
Exodus 14:17Nitaifanya mioyo ya Wamisri kuwa migumu kusudi waingie baharini wakiwafuatia. Nami nitajipatia utukufu kupitia Farao pamoja na jeshi lake lote, kupitia magari yake ya vita na wapanda farasi wake.
2 Chronicles 13:12Mungu yu pamoja nasi, yeye ndiye kiongozi wetu. Makuhani wake wakiwa na tarumbeta zao watapiga baragumu ya vita dhidi yenu. Watu wa Israeli, msipigane dhidi ya Bwana, Mungu wa baba zenu, kwa maana hamtashinda.”
Job 6:10Ndipo bado ningekuwa na hii faraja, 2 furaha yangu katika maumivu makali: 2 kwamba sikuwa nimeyakana maneno yake yeye Aliye Mtakatifu. 1
Job 11:6naye akufunulie siri za hekima, 2 kwa kuwa hekima ya kweli ina pande mbili. 2 Ujue hili: Mungu amesahau hata baadhi ya dhambi zako. 1
Job 15:13ili kwamba upate kutoa hasira yako dhidi ya Mungu, 2 na kumwaga maneno kama hayo kutoka kinywani mwako? 1