Ayubu 15:7
“Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa? 2 Ulizaliwa kabla ya vilima? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Art thou the first man that was born? or wast thou made before the hills?
In Context
6Kinywa chako mwenyewe kinakuhukumu, wala si changu; 2 midomo yako mwenyewe inashuhudia dhidi yako. 1
8Je, wewe husikiliza mashauri ya siri ya Mungu? 2 Je, wewe unaizuia hekima iwe yako mwenyewe? 1
Cross References
Genesis 4:1Adamu akakutana kimwili na mkewe Eva, naye akapata mimba, akamzaa Kaini. Eva akasema, “Kwa msaada wa Bwana nimemzaa mwanaume.”
Job 15:10Wale wenye mvi na wazee wako upande wetu, 2 watu ambao ni wazee hata kuliko baba yako. 1
Psalms 90:2Kabla ya kuzaliwa milima 2 au hujaumba dunia na ulimwengu, 2 wewe ni Mungu tangu milele hata milele. 1
Proverbs 8:25kabla milima haijawekwa mahali pake, 2 kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa, 1