Proverbs 8:25
kabla milima haijawekwa mahali pake, 2 kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Before the mountains were settled, before the hills was I brought forth:
In Context
24Wakati hazijakuwepo bahari, nilikwishazaliwa, 2 wakati hazijakuwepo chemchemi zilizojaa maji; 1
26kabla hajaumba dunia wala mashamba yake 2 au vumbi lolote la dunia. 1
Cross References
Job 15:7“Je, wewe ni mtu wa kwanza kuzaliwa? 2 Ulizaliwa kabla ya vilima? 1
Psalms 90:2Kabla ya kuzaliwa milima 2 au hujaumba dunia na ulimwengu, 2 wewe ni Mungu tangu milele hata milele. 1
Psalms 104:8yakapanda milima, yakateremka mabondeni, 2 hadi mahali pale ulipoyakusudia. 1