The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 16 › Ayubu 16:18

Ayubu 16:18

“Ee nchi, usiifunike damu yangu, 2 nacho kilio changu kisinyamazishwe kamwe. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

O earth, cover not thou my blood, and let my cry have no place.

In Context

17Hata hivyo mikono yangu haijafanya jeuri, 2 na maombi yangu ni safi. 1

19Hata sasa shahidi wangu yuko mbinguni; 2 wakili wangu yuko juu. 1

Read all of Ayubu 16

Cross References

Genesis 4:11Sasa umelaaniwa na umehamishwa kutoka ardhi, ambayo imefungua kinywa chake na kupokea damu ya ndugu yako kutoka mkononi mwako.

Job 27:9Je, Mungu husikiliza kilio chake, 2 shida zimjiapo? 1

Isaiah 1:15Mnaponyoosha mikono yenu katika maombi, 2 nitaficha macho yangu nisiwaone; 1 hata mkiomba maombi mengi 2 sitasikiliza. 1 Mikono yenu imejaa damu; 2

Isaiah 58:9Ndipo utaita, naye Bwana atajibu, 2 utalia kuomba msaada, 2 naye atasema: Mimi hapa. 1 “Kama ukiiondoa nira ya udhalimu, 2 na kunyoosha kidole na kuzungumza maovu, 1

Ezekiel 24:7“ ‘Kwa kuwa damu aliyoimwaga ipo katikati yake: 2 huyo mwanamke aliimwaga 2 juu ya mwamba ulio wazi; 1 hakuimwaga kwenye ardhi, 2 ambako vumbi lingeifunika. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 16:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 16:17Ayubu 16Ayubu 16:19 →