The Bible Software
bible.softwareJobJob 18 › Job 18:21

Job 18:21

Hakika ndivyo yalivyo makao ya mtu mwovu; 2 ndivyo palivyo mahali pake mtu asiyemjua Mungu.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Surely such are the dwellings of the wicked, and this is the place of him that knoweth not God.

In Context

20Watu wa magharibi watashangaa yaliyompata; 2 watu wa mashariki watapatwa na hofu. 1

Read all of Job 18

Cross References

Judges 2:10Baada ya kizazi kile chote kukusanywa pamoja na baba zao, kikainuka kizazi kingine baada yao ambacho hakikumjua Bwana, wala matendo yale aliyokuwa ametenda kwa ajili ya Waisraeli.

1 Chronicles 28:9“Nawe Solomoni mwanangu, mjue Mungu wa baba yako, ukamtumikie kwa kujitoa kwa moyo wote na kwa nia ya kumkubali, kwa maana Bwana huuchunguza kila moyo na kujua kila kusudi la kila fikira. Ukimtafuta, ataonekana kwako; bali kama ukimwacha, yeye atakukataa milele.

Job 21:14Lakini humwambia Mungu, ‘Tuache sisi!’ 2 Hatuna haja ya kufahamu njia zako. 1

Psalms 79:6Mwaga ghadhabu yako kwa mataifa yasiyokukubali, 2 juu ya falme za hao wasioliitia jina lako, 1

Jeremiah 10:25Umwage ghadhabu yako juu ya mataifa 2 wasiokujua wewe, 2 juu ya mataifa wasioliitia jina lako. 1 Kwa kuwa wamemwangamiza Yakobo; 2 wamemwangamiza kabisa 2 na kuiharibu nchi yake.

1 Thessalonians 4:5si kwa tamaa mbaya kama watu wa Mataifa wasiomjua Mungu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 18:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 18:20Job 18