Ayubu 18:20
Watu wa magharibi watashangaa yaliyompata; 2 watu wa mashariki watapatwa na hofu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They that come after him shall be astonied at his day, as they that went before were affrighted.
In Context
19Hana mtoto wala mzao miongoni mwa watu wake, 2 wala aliyenusurika mahali alipoishi. 1
21Hakika ndivyo yalivyo makao ya mtu mwovu; 2 ndivyo palivyo mahali pake mtu asiyemjua Mungu.”
Cross References
1 Kings 9:8Ingawa hekalu hili linavutia sasa, wote watakaolipita watashangaa na kudhihaki wakisema, ‘Kwa nini Bwana amefanya kitu kama hiki katika nchi hii na kwa Hekalu hili?’
Job 19:13“Amewatenga ndugu zangu mbali nami; 2 wale tunaojuana nao wamefarakana nami kabisa. 1
Psalms 137:7Kumbuka, Ee Bwana, walichokifanya Waedomu, 2 siku ile Yerusalemu ilipoanguka. 1 Walisema, “Bomoa, Bomoa 2 mpaka kwenye misingi yake!” 1
Jeremiah 50:27Waueni mafahali wake wachanga wote; 2 waacheni washuke machinjoni! 1 Ole wao! Kwa kuwa siku yao imewadia, 2 wakati wao wa kuadhibiwa. 1
Obadiah 1:11Siku ile ulisimama mbali ukiangalia 2 wakati wageni walipojichukulia utajiri wake 1 na watu wa nchi nyingine walipoingia malango yake 2 wakipiga kura kwa ajili ya Yerusalemu, 2 ulikuwa kama mmoja wao. 1
Luke 19:44Watakuponda chini, wewe na watoto walioko ndani ya kuta zako. Nao hawataacha hata jiwe moja juu ya jingine, kwa sababu hukutambua wakati wa kujiliwa kwako.” 1 Yesu Atakasa Hekaluni (Mathayo 21:12-17; Marko 11:15-19; Yohana 2:13-22)