Ayubu 18:6
Mwanga hemani mwake umekuwa giza; 2 taa iliyo karibu naye imezimika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The light shall be dark in his tabernacle, and his candle shall be put out with him.
In Context
5“Taa ya mwovu imezimwa, 2 nao mwali wa moto wake umezimika. 1
7Nguvu za hatua zake zimedhoofishwa; 2 shauri lake baya litamwangusha. 1
Cross References
Job 15:29Hatatajirika tena, nao utajiri wake hautadumu, 2 wala mali zake hazitakuwa nyingi juu ya nchi. 1
Psalms 18:28Wewe, Ee Bwana, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka; 2 Mungu wangu hulifanya giza langu kuwa mwanga. 1
Revelation 18:23Mwanga wa taa 2 hautaangaza ndani yako tena. 1 Sauti ya bwana arusi na bibi arusi 2 kamwe haitasikika ndani yako tena. 1 Wafanyabiashara wako walikuwa watu maarufu wa dunia. 2 Mataifa yote yalipotoshwa kwa uchawi wako. 1