Ayubu 18:7
Nguvu za hatua zake zimedhoofishwa; 2 shauri lake baya litamwangusha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The steps of his strength shall be straitened, and his own counsel shall cast him down.
In Context
6Mwanga hemani mwake umekuwa giza; 2 taa iliyo karibu naye imezimika. 1
8Miguu yake imemsukumia kwenye wavu, 2 naye anatangatanga kwenye matundu ya wavu. 1
Cross References
2 Samuel 17:14Absalomu na watu wote wa Israeli wakasema, “Shauri la Hushai, Mwariki, ni jema zaidi kuliko lile la Ahithofeli.” Kwa maana Bwana alikuwa amekusudia kupinga shauri nzuri la Ahithofeli, ili kuleta maafa juu ya Absalomu.
Job 5:12Huipinga mipango ya wenye hila, 2 ili mikono yao isifikie ufanisi. 1
Job 20:22Katikati ya wingi wa ustawi wake, dhiki itampata; 2 taabu itamjia kwa nguvu zote. 1
Psalms 18:36Huyapanua mapito yangu, 2 ili miguu yangu isiteleze. 1
Proverbs 1:30kwa kuwa hawakukubali mashauri yangu, 2 na kukataa maonyo yangu, 1
Proverbs 11:5Haki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka, 2 bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe. 1