Job 19:13
“Amewatenga ndugu zangu mbali nami; 2 wale tunaojuana nao wamefarakana nami kabisa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He hath put my brethren far from me, and mine acquaintance are verily estranged from me.
In Context
12Majeshi yake yananisogelea kwa nguvu; 2 yamenizingira, 2 yamepiga kambi kulizunguka hema langu. 1
14Watu wa jamaa yangu wamekwenda mbali; 2 rafiki zangu wamenisahau. 1
Cross References
Job 6:20Wamedhikika, kwa sababu walikuwa na matumaini; 2 wanafika huko, lakini wanahuzunika kwa kukosa walichotarajia. 1
Job 16:7Ee Mungu, hakika umenichakaza; 2 umewaangamiza kabisa watu wa nyumbani mwangu wote. 1
Psalms 31:11Kwa sababu ya adui zangu wote, 2 nimedharauliwa kabisa na jirani zangu, 1 hata kwa rafiki zangu nimekuwa tisho, 2 wale wanionao barabarani hunikimbia. 1
Psalms 38:11Rafiki na wenzangu wananikwepa 2 kwa sababu ya majeraha yangu; 2 majirani zangu wanakaa mbali nami. 1
Psalms 69:8Nimekuwa mgeni kwa ndugu zangu, 2 mgeni kwa wana wa mama yangu mwenyewe. 1
Psalms 69:20Dharau zimenivunja moyo 2 na nimekata tamaa, 1 nimetafuta wa kunihurumia, lakini sikumpata, 2 wa kunituliza, lakini sikumpata. 1