Ayubu 19:12
Majeshi yake yananisogelea kwa nguvu; 2 yamenizingira, 2 yamepiga kambi kulizunguka hema langu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
His troops come together, and raise up their way against me, and encamp round about my tabernacle.
In Context
11Hasira yake imewaka juu yangu; 2 amenihesabu kuwa miongoni mwa adui zake. 1
13“Amewatenga ndugu zangu mbali nami; 2 wale tunaojuana nao wamefarakana nami kabisa. 1
Cross References
Job 6:4Mishale ya Mwenyezi iko ndani yangu, 2 roho yangu inakunywa sumu yake; 2 vitisho vya Mungu vimejipanga dhidi yangu. 1
Job 16:11Mungu amenigeuzia kwa watu wabaya, 2 na kunitupa katika makucha ya waovu. 1
Job 30:12Kuume kwangu kundi linashambulia; 2 wao huitegea miguu yangu tanzi, 2 na kunizingira. 1
Isaiah 51:23Nitakiweka mikononi mwa watesi wako, 2 wale waliokuambia, 1 ‘Anguka kifudifudi 2 ili tuweze kutembea juu yako.’ 1 Ukaufanya mgongo wako kama ardhi, 2 kama njia yao ya kupita.”