Ayubu 19:17
Pumzi ya kinywa changu ni kinyaa kwa mke wangu; 2 nimekuwa chukizo mno kwa ndugu zangu mwenyewe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My breath is strange to my wife, though I intreated for the children’s sake of mine own body.
In Context
16Namwita mtumishi wangu, wala haitiki, 2 ingawa namwomba kwa kinywa changu mwenyewe. 1
18Hata watoto wadogo hunidhihaki; 2 ninapojitokeza, hunifanyia mzaha. 1
Cross References
Job 17:1Moyo wangu umevunjika, 2 siku zangu zimefupishwa, 2 kaburi linaningojea. 1