Ayubu 17:1
Moyo wangu umevunjika, 2 siku zangu zimefupishwa, 2 kaburi linaningojea. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My breath is corrupt, my days are extinct, the graves are ready for me.
In Context
Cross References
Job 7:6“Siku zangu zinapita upesi kuliko mtande wa kufuma, 2 nazo zinafikia mwisho wake bila matumaini. 1
Job 17:11Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika, 2 vivyo hivyo shauku za moyo wangu. 1
Job 19:17Pumzi ya kinywa changu ni kinyaa kwa mke wangu; 2 nimekuwa chukizo mno kwa ndugu zangu mwenyewe. 1
Psalms 88:3Kwa maana nafsi yangu imejaa taabu, 2 na maisha yangu yanakaribia kaburi. + 88:3 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 1
Isaiah 38:10Nilisema, “Katika ustawi wa maisha yangu, 2 je, ni lazima nipite katika malango ya mauti, + 38:10 Mauti hapa maana yake ni Kuzimu. 2 na kupokonywa miaka yangu iliyobaki?” 1