The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 20 › Ayubu 20:24

Ayubu 20:24

Ijapokuwa aikimbia silaha ya chuma, 2 mshale wa shaba utamchoma. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He shall flee from the iron weapon, and the bow of steel shall strike him through.

In Context

23Atakapokuwa amelijaza tumbo lake, 2 Mungu ataionyesha ghadhabu kali dhidi yake, 2 na kumnyeshea mapigo juu yake. 1

25Atauchomoa katika mgongo wake, 2 ncha ingʼaayo kutoka ini lake. 1 Vitisho vitakuja juu yake; 2

Read all of Ayubu 20

Cross References

2 Samuel 22:35Huifundisha mikono yangu kupigana vita; 2 mikono yangu inaweza kupinda upinde wa shaba. 1

Proverbs 7:23mpaka mshale umchome ini lake, 2 kama ndege anayenaswa kwenye mtego, 2 bila kujua itamgharimu maisha yake. 1

Jeremiah 48:43Hofu kuu, shimo na mtego vinawangojea, 2 enyi watu wa Moabu,” 4 asema Bwana. 1

Amos 9:1Nilimwona Bwana akiwa amesimama kando ya madhabahu, naye akasema: 1 “Piga vichwa vya nguzo 2 ili vizingiti vitikisike. 1 Viangushe juu ya vichwa vya watu wote; 2 na wale watakaosalia nitawaua kwa upanga. 1 Hakuna awaye yote atakayekimbia, 2 hakuna atakayetoroka. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 20:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 20:23Ayubu 20Ayubu 20:25 →