Ayubu 20:7
ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe. 2 Wale waliomwona watauliza, ‘Yuko wapi?’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yet he shall perish for ever like his own dung: they which have seen him shall say, Where is he?
In Context
6Ingawa kujikweza kwake hufikia mbinguni 2 na kichwa chake hugusa mawingu, 1
8Kama ndoto hutoweka, wala hapatikani tena, 2 amefukuziwa mbali kama maono ya usiku. 1
Cross References
1 Kings 14:10“ ‘Kwa sababu ya hili, nitaleta maafa juu ya nyumba ya Yeroboamu. Nitakatilia mbali kutoka kwa Yeroboamu kila mzaliwa wa mwisho wa kiume katika Israeli, mtumwa au mtu huru. Nitachoma nyumba ya Yeroboamu mpaka iteketee yote kama mtu achomaye kinyesi.
Job 4:20Kati ya mawio na machweo 2 huvunjwa vipande vipande; 1 bila yeyote kutambua, 2 huangamia milele. 1
Job 8:18Unapongʼolewa kutoka mahali pake, 2 ndipo mahali pale huukana na kusema, 2 ‘Mimi kamwe sikukuona.’ 1
Job 14:14Je, kama mtu akifa, aweza kuishi tena? 2 Siku zote za kazi zangu ngumu 2 nitangojea kufanywa upya kwangu. 1
Psalms 41:5Adui zangu wanasema kwa hila, 2 “Lini atakufa, na jina lake litokomee kabisa.” 1
Psalms 112:10Mtu mwovu ataona na kuchukizwa, 2 atasaga meno yake na kutoweka, 2 kutamani kwa mtu mwovu kutaishia patupu.