Ayubu 20:6
Ingawa kujikweza kwake hufikia mbinguni 2 na kichwa chake hugusa mawingu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Though his excellency mount up to the heavens, and his head reach unto the clouds;
In Context
5macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi, 2 nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu. 1
7ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe. 2 Wale waliomwona watauliza, ‘Yuko wapi?’ 1
Cross References
Genesis 11:4Ndipo wakasema, “Njooni, tujijengee mji wenye mnara ambao utafika hadi mbinguni, ili tujipatie jina tusije tukatawanyika usoni pa dunia yote.”
Daniel 4:11Mti ule ulikua, ukawa mkubwa na wenye nguvu, nayo ncha yake ikagusa anga; ulionekana mpaka miisho ya dunia.
Amos 9:2Wajapojichimbia chini mpaka kwenye vina vya kuzimu, 2 kutoka huko mkono wangu utawatoa. 1 Wajapopanda juu hadi kwenye mbingu, 2 kutoka huko nitawashusha. 1
Obadiah 1:4Ingawa unapaa juu kama tai 2 na kufanya kiota chako kati ya nyota, 2 nitakushusha chini kutoka huko,” 4 asema Bwana. 1