The Bible Software
bible.softwareJobJob 21 › Job 21:20

Job 21:20

Macho yake mwenyewe na yaone maangamizi yake; 2 yeye na ainywe ghadhabu ya Mwenyezi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

His eyes shall see his destruction, and he shall drink of the wrath of the Almighty.

In Context

19Imesemekana, ‘Mungu huiweka akiba adhabu ya mtu 2 kwa ajili ya wanawe.’ 1 Mungu na amlipe mtu mwenyewe, 2 ili apate kulijua! 1

21Kwani anajali nini kuhusu jamaa anayoiacha nyuma, 2 miezi yake aliyopangiwa ifikapo mwisho? 1

Read all of Job 21

Cross References

Psalms 60:3Umewaonyesha watu wako nyakati za kukata tamaa; 2 umetunywesha mvinyo unaotuyumbisha. 1

Psalms 75:9Bali mimi, nitatangaza hili milele; 2 nitaimba sifa kwa Mungu wa Yakobo. 1

Jeremiah 25:15Hili ndilo Bwana, Mungu wa Israeli, aliloniambia: “Chukua kutoka mkononi mwangu kikombe hiki kilichojaa divai ya ghadhabu yangu, na kuyanywesha mataifa yote ambayo ninakutuma kwao.

Luke 16:23Kule kuzimu alipokuwa akiteseka, alitazama juu, akamwona Abrahamu kwa mbali, naye Lazaro alikuwa karibu yake.

Revelation 19:15Kinywani mwake hutoka upanga mkali ambao kwa huo atayaangusha mataifa. “Atayatawala kwa fimbo yake ya utawala ya chuma.” Hulikanyaga shinikizo la mvinyo wa ghadhabu ya Mungu Mwenyezi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 21:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 21:19Job 21Job 21:21 →