The Bible Software
bible.softwareJobJob 21 › Job 21:19

Job 21:19

Imesemekana, ‘Mungu huiweka akiba adhabu ya mtu 2 kwa ajili ya wanawe.’ 1 Mungu na amlipe mtu mwenyewe, 2 ili apate kulijua! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

God layeth up his iniquity for his children: he rewardeth him, and he shall know it.

In Context

18Ni mara ngapi huwa kama majani makavu mbele ya upepo, 2 kama makapi yachukuliwayo na dhoruba? 1

20Macho yake mwenyewe na yaone maangamizi yake; 2 yeye na ainywe ghadhabu ya Mwenyezi. 1

Read all of Job 21

Cross References

Genesis 4:7Ukifanya lililo sawa, je, hutakubalika? Lakini usipofanya lililo sawa, dhambi inakuvizia mlangoni mwako, inakutamani wewe, lakini inakupasa uishinde.”

Numbers 14:18‘ Bwana si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa upendo na mwenye kusamehe dhambi na uasi. Lakini haachi kumwadhibu mwenye hatia, huadhibu watoto kwa ajili ya dhambi ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne.’

Deuteronomy 32:41wakati ninapounoa upanga wangu unaometameta 2 na mkono wangu unapoushika ili kutoa hukumu, 1 nitalipiza kisasi juu ya adui zangu 2 na kuwalipiza wale wanaonichukia. 1

Job 22:24kama dhahabu yako ukiihesabu kama mavumbi, 2 dhahabu yako ya Ofiri kama miamba ya mabondeni, 1

Psalms 109:9Watoto wake na waachwe yatima, 2 mke wake na awe mjane. 1

Isaiah 53:4Hakika alichukua udhaifu wetu 2 na akajitwika huzuni zetu, 1 hata hivyo tulidhania kuwa amepigwa na Mungu, 2 akapigwa sana naye, na kuteswa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 21:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 21:18Job 21Job 21:20 →