The Bible Software
bible.softwareJobJob 21 › Job 21:33

Job 21:33

Udongo ulio bondeni ni mtamu kwake; 2 watu wote watamfuata, 2 nao umati wa watu usiohesabika umemtangulia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The clods of the valley shall be sweet unto him, and every man shall draw after him, as there are innumerable before him.

In Context

32Hupelekwa kaburini, 2 nao ulinzi ukawekwa kwenye kaburi lake. 1

34“Hivyo ninyi mnawezaje kunifariji kwa upuzi wenu? 2 Hakuna kilichosalia cha majibu yenu isipokuwa uongo!”

Read all of Job 21

Cross References

Job 3:17Huko waovu huacha kusumbua 2 na huko waliochoka hupumzika. 1

Job 17:16Je, litashuka chini hadi kwenye malango ya mauti? + 17:16 Malango ya mauti hapa ina maana ya Kuzimu. 2 Je, tutashuka pamoja mavumbini?”

Job 30:23Ninajua utanileta mpaka kifoni, 2 mahali ambapo wenye uhai wote wamewekewa. 1

Ecclesiastes 8:8Hakuna mwanadamu 2 awezaye kushikilia roho yake asife, 1 wala hakuna mwenye uwezo 2 juu ya siku ya kufa kwake. 1 Kama vile hakuna yeyote arudishwaye nyuma wakati wa vita, 2 kadhalika uovu hautawaweka huru wale wautendao.

Hebrews 9:27Kama vile mwanadamu alivyowekewa kufa mara moja tu na baada ya kufa akabili hukumu,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 21:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 21:32Job 21Job 21:34 →