Job 21:34
“Hivyo ninyi mnawezaje kunifariji kwa upuzi wenu? 2 Hakuna kilichosalia cha majibu yenu isipokuwa uongo!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
How then comfort ye me in vain, seeing in your answers there remaineth falsehood?
In Context
Cross References
Job 13:12Maneno yenu ni mithali za majivu; 2 utetezi wenu ni ngome za udongo wa mfinyanzi. 1
Job 32:3Pia aliwakasirikia hao rafiki watatu wa Ayubu, kwa sababu hawakuweza kupata njia ya kuthibitisha ya kuwa hayo maneno ya Ayubu hayakuwa ya kweli, nao bado walikuwa wamemlaumu.