The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 22 › Ayubu 22:20

Ayubu 22:20

‘Hakika adui zetu wameangamizwa, 2 nao moto umeteketeza mali zao.’ 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Whereas our substance is not cut down, but the remnant of them the fire consumeth.

In Context

19“Wenye haki wanaona maangamizi yao na kufurahi, 2 nao wasio na hatia huwadhihaki, wakisema, 1

21“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, 2 ndipo mema yatakapokujia. 1

Read all of Ayubu 22

Cross References

Job 1:16Alipokuwa bado ananena, mjumbe mwingine akaja na kusema, “Moto wa Mungu ulishuka kutoka mbinguni na kuteketeza kondoo na watumishi, nami ndimi peke yangu niliyenusurika kukuletea habari!”

Job 8:3Je, Mungu hupotosha hukumu? 2 Je, Mwenyezi hupotosha kile kilicho haki? 1

Job 15:30Hatatoka gizani; 2 mwali wa moto utanyausha machipukizi yake, 2 nayo pumzi ya kinywa cha Mungu itamwondolea mbali. 1

Job 20:26giza nene linavizia hazina zake. 1 Moto usiopepewa na mtu utamteketeza, 2 na kuangamiza yaliyosalia nyumbani mwake. 1

Job 21:27“Ninayajua kikamilifu yale mnayoyafikiri, 2 mipango ambayo kwayo mngenitendea mabaya. 1

Luke 17:29Lakini siku ile Loti alipoondoka Sodoma, ikanyesha mvua ya moto na kiberiti kutoka mbinguni ukawaangamiza wote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 22:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 22:19Ayubu 22Ayubu 22:21 →